Kuzingirwa kwa Maiozamalcha (au Maogamalcha) mwaka 363 BK, jeshi la Dola la Roma chini ya Kaisari Juliani Mwasi liliuvamia, kuupora, na kuuharibu mji wa Maiozamalcha, kabla ya kuendelea kuelekea mji mkuu wa Milki ya Wasasani, Ctesiphon.[1][2]
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search